MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa.Linah akiwa kwenye pozi...akiwaza namna atakavyoanza maisha ya uchumba katika umri huu wa utu uzima wakeakionyesha pete ya uchumba