JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz amedai kuwa kijana huyo ambaye anamiliki maduka ya kuuza na kutengeneza CD katika kituo kikuu cha mabasi cha mjini Moshi, alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akitokea Dubai.
BOFYA HAPO CHINI KUIONA VIDEO....
<< BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO HIYO...SHARTI UWE MTU MZIMA>>