Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Showing posts with label instagram. Show all posts
Showing posts with label instagram. Show all posts

RAY C AYANADI MAPAJA YAKE MTANDAONI....UZURI WANGU UPO NDANI YA MAPAJA YANGU NA SIHANGAIKI NA DAWA ZA KICHINA.


                     Huyu  ni  Msanii  mkongwe  maarufu  kwa  jina  la  Ray  C ambaye  leo  hii  ameamua  kuyanadi  mapaja  yake  akidai  kwamba  hiyo  ndo  sehemu  muhimu  ya  mwili  wake...

Kila  mwanamke  ana  mvuto  wake, wapo  wanaojivunia  nyuso  zao  zenye  macho  yaliyoumbwa  yakaumbika, nyuso  zisizo  na  chunusi  wala  aina  yoyote  ya  kovu...

Wapo  pia  wanaojivunia  makalio  yao  na  sote  tumekuwa  tukishuhudia  jitihada  mbali mbali  za  akinadada  za  kujitengenezea  makalio  ya  bandia ( ya  kichina ) ili  kujiongezea  mvuto  kwa  wanaume.

Hali  ni  tofauti  kidogo  kwa  msanii Ray C.Yeye  anaamini  kwamba  mapaja ndo  kila  kitu  na  kwamba  ni  hicho kigezo  muhimu  kinachoangaliwa  na  wanaume  wengi wa  siku  hizi...

"Nani  asiyejua  kwamba  kuna  makalio  ya  kichina? Umewahi  sikia  wapi  mapaja  ya  kichina?..Haya  tunayo  wachache  ambao  tumejaliwa  na  muumba  wetu".Hii  ni  kauli  ya  Ray  C alipokuwa  akipiga  stori  na  mpekuzi  wetu.
 Akongelea kuhusu  afya  yake  kwa  ujumla, Ray  C amewashukuru  kwa  mara  nyingine  watanzania  wote  waliokuwa  naye  wakati  wa  akiwa  mgonjwa.

"Sitachoka  kuwashukuru  watanzania  wenzangu  ambao  walikuwa  pamoja  nami  pindi  nikiwa  mgonjwa. Nguvu  zangu  kwa  sasa  nimezielekeza  katika  kuiimarisha  afya  yangu  na  ndo  maana  unaniona  niko  hivi  kwa  sasa.

"Haikuwa  kazi  nyepesi  kuirejesha  afya  yangu  ndani  ya  muda  mfupi.Nilidhani  mapaja  yangu  hayatarejea  tena  katika  hali  yake.Mungu  ni  mwaminifu, kila  kitu  kiko  vizuri  kama  nilivyokuwa  nataka"..Ray  C

RAYUU AAMUA KUZUNGUMZA ISHU YA YEYE KUPUNGUA KWA SABABU YA KUWA TEJA WA UNGA

Rayuu Alice Bagenzi 5 hours ago via mobile

 We are shaped by our thoughts we became what we think.when the mind and heart is pure joy follows like a shadow that never leaves. Blessed are those who are sicking to destroy my reputation 'eti am using drugs' I know people care not how much I knw abt myself untill they knw hw much I ca re.busara ndio inaniongoza k atika maisha haya cz an important key to self c onfidence is kujiandaa, for I can nvr get hurt untill I permit myself to get hurt, courage is the greatest quality of the mind next to honor.. Mungu awajaze uzima na muendelee kunichafua, hamjui kusoma hata kwa macho hamuon? Hatasifananii, may god be with you till we meet again hakuna lisilo na mwisho.
 
RAYUU  ALICE BAGENZI

Msikilize Rayuu hapa chini akizungumzia ishu ya yeyey kuwa TEJA:



-THECHOICE

UJUMBE WA RAY C KWA MASHABIKI WAKE

Mwanadada Ray C leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao. Ametirikia hivi:
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa