Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Showing posts with label ushauri. Show all posts
Showing posts with label ushauri. Show all posts

USHAURI-"KWA NINI BOYFRIEND WANG ANAFANYA HIVI..?"

Habari,

Kwanza kabisa, kwenye maelezo yangu nakuomba usionyeshe jina langu. Binafsi huwa naipenda sana blog yako, na kiukweli nimekuwa nikiifatilia sana.
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa naishi kwenye nchi moja iliyopo Barani Asia nikiwa nasoma.


Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na boyfriend wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, mtu ambaye naye yupo huku nilipo.
Wiki chache zilizopita amebadilisha status yake ya mahusiano kwenye Facebook, na kwa sasa inaonyesha yupo kwenye mahusiano na mwanamke mwengine na sio mimi.


Nilijisikia vibaya sana , nilipomuuliza aliniambia hakuna lolote linaloendelea kati yake na mwanamke huyo na cha msingi anasema nimuamini....
Ila hataki kuitoa hiyo status, anasema ataitoa muda mwingine sio kwa sasa. Kwa muda wa wiki sasa tumekuwa tukizungumza na kiukweli nampenda sana, sijui cha kufanya.
Tafadhali naomba ushauri, nachanganyikiwa....
Asante.

NATAFUTA MCHUMBA



mary ndo jina langu natokea kahama,na nina diploma, natafuta mchumba awe mkristo,mrefu, mweupe,asivute wala kunywa pombe,awe na kazi na elimu angalua
chuo kikuu,wacliana na mm kwa no.0758051743

......

mimi ni msichana mjasiri mali na pia msomi.mimi naishi arusha, ila kwa sasa nipo dar es salaam kwani ninasoma,napenda kuwa na rafiki ambaye ni msomi na
mcheshi msafi na mtafutaji.kiufupi mimi ni mchagga kwangu kabila si chagui namba zangu za simu ni 0766635368

------
 naitwa brian malembeka nipo dodoma natafuta mchumba wa kike alie serious na maisha anejua thamn ya kupendwa tutaependana nae ktk shida na raha anaejieshim mtaratibu mstaarabu alie tayar kupima sitafuti mchumba ku jishow off nahitaj wa kuwa nae maishan alie serious 0718546050 usibip sipend kubipiwa

KAMA UNA OMBI AU UNATAKA USHAURI USISITE TUANDIKIE SASA KUPITA e-mail:vitukovyamtaa@gmail.com

NIMEREKODIWA VIDEO YA NGONO BILA KUJIJUA. NIFANYEJE?




Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asb namlipa chake anatambaa.

Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?

Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop najiona mimi na demu niliyemchukua wk 2 zilizopita.

Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.

"NINA MIAKA 35 SIJAWAHI KUFIKA KILELENI".....NAOMBENI MSAADA!

Nisaidieni wana vituko vya mtaa,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje? Maana naona naelekea kubaya natamani kuwa kimapenzi na Msichana mwenzangu nasikia mkiwa wote wasichana katika sita kwa sita ..huwa ni rahisi kukojoa na anagusa pale penyewe....nisaidieni nifanyaje kabla sijajiingiza katika usagaji....

Kama una jambo wataka wana vituko vya mtaa ikushauri....usisite tuandikie kupitia vitukovyamtaa@gmail.com

"KILA NINAPOFANYA MAPENZI HUWA NAJUTA".....NIFANYEJE?


Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi

Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo yenu...
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa