Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Showing posts with label uwoya. Show all posts
Showing posts with label uwoya. Show all posts

PICHA 4 ZA FARAGHA WAKITOMASANA NA KUNYONYANA....IRENE UWOYA AKIWA NA MANAIKI SANGA AMBAYE ANAWAPIGA PICHA ZA UTUPU NA WASICHANA ILI KUPATA UMAARUFU


Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya aibu mastaa wa kike  wa bongo movie wanatuhumiwa kujipigisha picha na msanii aliyejipatia umaarufu  nchini Kwa kupiga picha akiwa na wanawaku za utupu ..
Sasa aibu imeingia kwa mwanadada wa bongo movie ambaye amejitangaza kwa kuacha kuigiza "IRENE UWOYA"  
.....CHEKI HIZI PICHA IRENE UWOYA AKIWA FARAGHA NA MANAIKI HUKU IRENE UWOYA AKINYONYWA SHINGO NA KUTOMASWATOMASWA NA KULEGEA KIMAHABA....



-shukrani kwa Xdjayz....


KAULI YA UWOYA BAADA YA KUSAMBAA KWA TAARIFA YA KUWEKWA CHINI YA ULINZI WA POLISI KWA WIZI WA SIMU IPHONE-5

Ukurasa wa mbele wa gazeti la Risasi la leo Jumamosi (Sept 14) umetawaliwa na habari inayomhusu msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya yenye kichwa cha habari “UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU!!”.



“MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.

MAMBO yanaendelea kumwendea kombo mwigizaji huyo huku akiwa ameanza kuporomoka vibaya kwenye sanaa na kujikuta akiingia matatani kwa tuhuma za aibu.

Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha kipindi kwenye runinga moja ya Bongo baada ya kushindwa kwenye filamu, alidakwa na askari wa Kituo cha Polisi Msimbazi, Dar baada ya kusakwa usiku na mchana kwa kutumia kumbukumbu ya jalada la kesi namba MS/RB/8522/13 WIZI KUTOKA MAUNGONI.”

Katika kujibu tuhuma zilizoripotiwa na gazeti hilo, Uwoya kupitia akaunti yake ya Instagram leo amepost picha ya ukurasa wa mbele wa gazeti hilo wenye habari hiyo pamoja na maneno yafuatayo:


“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali”

UWOYA AWEKWA CHINI YA POLISI KWA KUIBA SIMU YA IPHONE-5

MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5.
MAMBO yanaendelea kumwendea kombo mwigizaji huyo huku akiwa ameanza kuporomoka vibaya kwenye sanaa na kujikuta akiingia  matatani kwa tuhuma za aibu.

HABARI ZA KIPOLISI
Kwa mujibu wa habari za kipolisi, mmiliki wa simu hiyo  ni mwanamme aliyejulikana kwa jina la Mohammed Marjey, mkazi wa Dar.
Uwoya ambaye siku hizi anajitutumua kwa kuanzisha kipindi kwenye runinga moja ya Bongo baada ya kushindwa kwenye filamu, alidakwa na askari wa Kituo cha Polisi Msimbazi, Dar baada ya kusakwa usiku na mchana kwa kutumia kumbukumbu ya jalada la kesi namba MS/RB/8522/13 WIZI KUTOKA MAUNGONI.
Simu aina ya iPhone 5 kama inayodaiwa kuibiwa na Uwoya.
MMILIKI AMWANIKA UWOYA
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi, Mohammed alisema simu hiyo aliinunua mwaka huu kwenye Duka la Grande Center jijini New York, Marekani alikokwenda kwa shughuli zake.Akasema Agosti 22, mwaka huu alirejea Bongo akiwa na simu hiyo ambayo ni toleo jipya la mwaka huu.
“Nilirejea hapa nchini nikiwa na simu hiyo. Tena unajua simu yenyewe ni ya kisasa, toleo la mwaka huu,” alisema Mohammed.Alisema Agosti 23, mwaka huu, akiwa kwenye gari katika Makutano ya Barabara ya Uhuru na Mtaa wa Nyamwezi, Kariakoo, Dar aliibiwa simu hiyo na mtu asiyemtambua.
“Nilikwenda Polisi Msimbazi kuandikisha maelezo na kupewa RB hiyo. Lakini nilitumia njia ya kitaalam kufuatilia, nikagundua simu yangu inatumiwa na mtu anayeitwa Peter, nikampigia simu kumwambia lakini hakuweka wazi aliipataje?
Mohammed alisema baada ya dakika kumi, alipigiwa simu na Uwoya na kumchimba mkwara kuhusu simu hiyo huku akisema ni yake yeye, jambo ambalo lilimshangaza jamaa huyo.
“Nilirudi Msimbazi na kuwaambia ndipo polisi wakaanza kazi ya kumsaka ili wamkamate. Leo (Alhamisi) amekamatwa akiwa na hiyo simu yangu,” alisema.
Irene Uwoya.
UWOYA AULIZWA ALIKOIPATA SIMU HIYO
Inadaiwa kuwa polisi walimuuliza Uwoya alikoipata simu hiyo ambapo alisema alipewa na jamaa yake wa Afrika Kusini huku mlalamikaji huyo akitoa risiti ya kununulia.
AONDOLEWA POLISI KWA MLANGO WA NYUMA
Baada ya kumaliza kuhojiwa kituoni hapo, Uwoya alitolewa kinyemela kwa mlango wa nyuma ili mapaparazi waliopiga kambi nje ya kituo hicho wasimfotoe.
MABALAA YA UWOYA
Makabrasha ya wasanii wa Tanzania ndani ya ofisi za Global Publishers zinamuonesha Uwoya akiwa anaporomoka kisanii siku hadi siku huku mabalaa mbalimbali yakimuandama ikiwa ni pamoja na fiamu zake kukosa soko madukani.
Kwa mujibu wa waandaaji wa filamu za Bongo, siku hizi hawamtumii msanii huyo kwa sababu kiwango chake cha kuigiza kimepotea hali inayowalazimisha kuachana naye au kumchezesha nafasi ndogo.
“Uwoya wa siku hizi si yule, nadhani kitendo cha kuanchana na Ndikumana (mumewe Hamad) kimempa mkosi, hana mvuto tena kama zamani. Mtu akitaka kutoa fillamu yake hawezi kumuweka Uwoya kwenye kava la mbele, ni majanga!
“Amekuwa akijitutumua ili aigize kama zamani, lakini wapi! Hana mvuto tena. Ilifika mahali anaomba kuigiza ili alipwe hata shilingi laki moja tu,” alisema muandaa filamu mmoja.
KUNASWA NA DIAMOND HOTELINI KUMEMDIDIMIZA
Habari zaidi zinasema kuwa ile skendo yake ya kunaswa hotelini akiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kulichangia kumtumbukiza kwenye Top Ten ya Wasanii Wasio na Mvuto Bongo.
WADAU WASEMA ANA ‘LAZI’ YA MUME
Wengi waliozungumza na Risasi Jumamosi siku chache baada ya kunaswa hotelini walisema hawana sababu tena ya kuwa mashabiki wa msanii huyo kwani aliachana na mumewe na kutumbukia kwenye uhusiano na vijana wadogo jambo walilosema ni kama ‘lazi’ ya mumewe Ndikumana.
“Jamani huyu Uwoya si afadhali angeendelea kuwa na mume wake (Ndikumana), kamwacha sasa anatembea na vijana wadogo, akina Diamond. Lo! Mimi siwezi kuwa shabiki wake tena,” alisema Mwanahawa Mwarami ‘Mama Sumna’, mkazi wa Kijitonyama, Dar es Salaam.
WENGINE WAMNANGA
Septemba 10, mwaka huu, maeneo ya Mwenge, Dar, staa mmoja wa filamu za Bongo alimnanga Uwoya kwa kitendo chake cha kutangaza kuwakarabatia watu nyumba zao huku yeye akiwa hana nyumba aliyojenga.
“Unajua yule demu (Uwoya, eti amekuwa demu na si mke wa mtu au mama Krish) namshangaa sana, eti ana kipindi runingani anasema anakarabati nyumba za watu wasio na uwezo, halafu yeye mwenyewe hana nyumba, si upuuzi huo jamani?” alihoji staa huyo wa kiume.
Aliendelea kusema kuwa, Uwoya alishabugi siku nyingi hivyo anachofanya sasa ni kuhangaika pa kushika akiamini anaweza kurudia enzi zile za Oprah bila kujua kuwa, ‘bahati haiji mara mbili.’


JOHARI AGOMA KUTHIBITISHA KUWA AMEFUNGA NDOA YA SIRI...

Irene Uwoya amempongeza staa mwenzake, Blandina Chagula "Johari" kwa kutumbukiza picha kwenye Instagram ikimuonesha amevaa pete ya ndoa kwenye kidole husika.
  
Uwoya, baada ya kuona picha hiyo akatupia ujumbe wake akisema: Hongera mama kwa kupata mwenzako…maaama h.
Wadau mbalimbali nao walimpongeza Johari kwa hatua hiyo huku wengine wakihoji imekuwaje kimyakimya?
Maswali na pongezi hizo za wadau zilijibiwa na Johari mwenyewe ambaye aliandika:  ‘Thanx ndo maisha yanachange’ (yaani asante ndiyo maisha yanabadilika).
Alipopigiwa simu juzi na kuulizwa kama amefunga ndoa kwa siri, staa huo alicheka na kusema: “Hakuna kitu kama hicho jamani.

LUIZA MBUTU ATOA SOMO JUU YA DIAMOND NA UWOYA KUFUMANIWA

Kiongozi  na mwimbaji mkongwe  wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha  kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za kimapenzi na kuamua kuwafunda ka kuwapa somo kali.Akizungumza na mwandishi wetu kwenye  hivi karibuni luiza alidai kwamba wasanii wa fani zote ni kioo cha jamii hivyo kitendo cha baadhi ya wasanii kujihusisha na mambo yasio kubalika kwenye jamii wakati wao ni kioo cha jamii  ni sawa na kuipotosha jamii hiyo inayowatazama.

 mfano lshu ya Diamond na Uwoya kunaswa hotelini na mapaparazi jamii inayowatazama inawasomaje kimaisha wakati sisi wasanii ni kioo cha jamii siku hizi watu wako bize na na maisha na sio mambo hayo ya kitoto kwani dunia ya sasa magonjwa ni mengi hivyo kitendo cha kubadilisha wapenzi kila kukicha ni hatari pia kwa afya yako mimi natoa soma kwa wasanii wenzangu tujiheshimu ili tuheshimike"alisema Mbutu kwa hisia kali.huku akiongeza kusema


" Nashukuru kwa upande wetu wa sanii wa muziki wa dani sekendo hizo za ngono sio kubwa kama ilivyo kwa wenzetu wa bongofleva na bongomovie"alisema luiza ambaye kiukweli licha ya kuwepo kwenye fani hiyo ya muziki wa danisi kwa muda mrefu hajaingia kwenye skendo yoyote mbaya pia Ruiza ni miongoni mwa wanamuziki wachache wasio na tamaa ya kuhama hama bendi kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii wengine jambo lililopeleka kudumu kwenye cheo chake cha  ukiranja mkuu wa bendi hiyo kwa muda mrefu sasa.

Siku za hivi karibuni msanii kiwango cha juu kwa sasa Afrika Mashariki na kati Nasibu Abdul'Diamond Platnumz' alinaswa hotel usiku wa manane na mapaparazi wa kampuni wa Global Publishers akiwa na mwigizaji nyota wa filam za kibongo lrene Uwoya ambaye ni mke wa mtu wakila raha ndani ya hotel hiyo iliyopo kando kando ya ufukwe wa bahari ya hindi jijini Dar es salaam.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa