Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MWANAMKE MCHAWI ADONDOKA MAENEO YA UKONGA ASUBUHI YA LEO....MATUKIO KATIKA PICHA

MWANAMKE MCHAWI ADONDOKA MAENEO YA UKONGA ASUBUHI YA LEO....MATUKIO KATIKA PICHA


LEO majira ya saa kumi na mbili asubuhi wakazi wa maeneo ya ukonga sabasaba walisikia kishindo kikubwa na baada ya kutoka wakakashuhudia dada mmoja amabaye anasaadikiwa kuwa n i mchawi kadondoka akiwa katika safari zake za usiku na baadhi ya mashuhuda walioukwepo katika eneo hilowalisema walimkuta ndani ya gari aina ya RAV4 japo milango ilikuwa imefungwa
hapa akiwa amefungwa miguu na wananchi waliomakamata na kwa bahati mabaya hakuweza kuzungumza chochote

binti huyo alikamatwa na akiwa na kipande cha mti na tawi la kuti la mnazi ambao inasadikiwa kuwa ndio usafiri wake wa usiku.
wananchi waliofanikiwa kuongea na mdau wamesema kuwa hali hiyo  iitakuwa imetokana na kuwa kuna mganga mmoja kuhamia maeneo hayo siku za karibuni
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa