Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO 2 ZIKIONYESHA JINSI BIASHARAYA "NGONO" INAVYOFANYIKA NYAKATI ZA USIKU

VIDEO 2 ZIKIONYESHA JINSI BIASHARAYA "NGONO" INAVYOFANYIKA NYAKATI ZA USIKU

Hii ni makala inayoonyesha jinsi biashara ya ngono(uchangudoa) unavyofanyika haswa nyakati za usiku.Makala hii inakutanisha wafanyabiashara hiyo almaharufu kama "MACHANGUDOA" wakieleza jinsi wanavyofanya biashara hiyo na changamoto wanazozipata.
Usisite kuangalia ili uweze kujifunza..
ANGALIA VIDEO MBILI HAPO CHINI..







Imeandaliwa na vitukovyamtaa.blogspot.com
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa