Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » RAYUU ACHIA TENA PICHA YA UTATA MTANDAONI

RAYUU ACHIA TENA PICHA YA UTATA MTANDAONI

Msanii mwenye wa Bongo Movie asiyeishiwa na vituko vingi vikiwemo na kupiga picha mbalimbali za nusu utupu kupelekea kutengwa na wazazi  RAYUU apiga tena picha na Kuisambaza tena mtandaoni.Picha iyo ya UTATA inayoonesha mgongo wake wazi akiwa hajavaa nguo yoyote na kuonyesha tatoo zake.
picha mpya ya rayuu akiwa wazi mgongoni

Swali linakuja ..? Je huu ni utamaduni kweli na ni lazima kila mtu hajue maumbile yako ulivyo kisa umeuremba mwili wako kwa michoro...?


Baadhi ya picha alizopiga na kuzisambaza mtandaoni akiwa nusu utupu ni hizi hapa chini



























 Rayuu akiwa ameachia mgongo wake wazi huku maziwa wazi....

 




















             Rayuu akiwa na mpenziwe...

MDAU TUO MAONI YAKO HAPO CHINI KAMA NI SAHII HII!!!

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa