Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NI KAULI YA IZZO BIZNESS JUU YA KUWA NA MAHUSIANO YAKIMAPENZI NA WEMA SEPETU

HII NI KAULI YA IZZO BIZNESS JUU YA KUWA NA MAHUSIANO YAKIMAPENZI NA WEMA SEPETU

Siku chache baada ya kukwenda Arusha kwa mapumziko mafupi kutokana na kudhalilishwa na mpenzi wake wa dhamani Diamond kupitia redio...Beutifully onyinye wa Bongo, sasa hausishwa kutoka kimapenzi na msanii wa hip hop Izzo bizness..
  izzo bizness kupitia xxl ya clous fm chini ya u-heard ya alhamisi ya wiki hii alikanusha kabisa kuwa na mahusiano ya mrembo wema na kuthibitisha kuwa wao ni washikaji na wanakutana mara mojamoja ingawa wenyewe wamezoea kuitana 'darling' kwa mazoea..
KuSikiliza  kauli ya izzo bizness bfya hapo chini !!


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa