Rappa huyu mwenye umri wa miaka 30 (ndio na usishangae
kwani huo ndio umri wake halisi) kwa muda mrefu sasa
amekuwa akihusishwa sana na tetesi zilizoenea, kwamba
mwili wake umepitia visu vingi vya upasuaji, hiyo yote ni
katika kuutengeneza na kuufanya uwe wa kuvutia kama
ambavyo unaonekana kwa sasa, japo yeye mwenyewe Minaj
kwenye mahojiano kadhaa amekuwa akikana kuwahi
kufanyia upasuaji kwa mara kadhaa.
Ila picha zake za siku za nyuma na sasa zina majibu tofauti.
Fanya kumcheki Nicki Minaj, ambaye jina lake halisi
ni Onika Tanya Maraj kabla na baada ya mabadiliko.
Nick Minaj Anavyoonekana Sasa |