Mambo yamezidi kua mambo kwa Clouds Fm sasa imeundiwa kurasa na kundi la watu ambao mpaka sasa hawajafahamika na kurasa hii imepewa jina la Mazishi ya clouds Fm na harakati zake ni kuangamiza clouds.
Hizi ni Baadhi ya Post na Comment
mmmmh!! toa maoni mdau ......mana ii vita......