Keri Hilson Na Kitu Cha Ugali
Safi sana Keri Hilson.... Hapa kwetu bongo kuna baadhi ya wanawake ambao hawawezi kusonga ugali wa kula hata yeye mwenyewe, na wengi miongoni mwao huwa hawawezi kusonga ugali wa kuliwa na zaidi ya watu wawili.
Naamini wengi wenu mnamfahamu mwanamuziki toka nchini Marekani aitwae Keri Hilson, Knock You Down ni wimbo wake ambao naamini unaufaha.
Fanya kama unamcheki kwa picha hapo juu, hicho kitu ni cha ugali, mtoto kwa sasa amekolea kwa mchizi wa Kiafrika ambaye anacheza ligi ya kikapu nchini Marekani (NBA), jamaa anaitwa Serge Ibaka ambaye ni raia wa Nigeria.
Unaweza kushangaa sababu ugali si chakula cha utamaduni wa wazungu na nchi nyingi zilizoendelea, ila Keri licha ya kwamba yeye ni mwanamuziki nyota na mwenye hela zake za kumtosha ameweza kukaa na kupika ugali wa kula zaidi ya watu wawili...

Vipi dada zetu nini mnajifunza hapo....?