Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » COLETHA AFUNGUKA KUTAPELI KWAKE

COLETHA AFUNGUKA KUTAPELI KWAKE

Na vitukovyamtaa.blogspot.com
STAA wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amesema kuwa skendo ya kutapeli kwenye ‘botiki’ moja iliyopo mjini Tanga ni ya kuzushiwa na kwamba wanaofanya hivyo wana chuki binafsi.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Koleta alisema ameshangazwa na madai hayo kuwa ametapeli vitu vyenye thamani ya shilingi takriban elfu sabini lakini akasema anajua wanaoeneza habazi hizo wana nia ya kumchafua.
“Sijui hizi skendo zinatoka wapi, wewe si wa kwanza kunipigia na kuniambia nimetapeli, hilo linanishangaza sana, naomba uchunguze sana ukipata ukweli nitawaruhusu watu hao wanifikishe popote,” alisema staa huyo.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa