Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » AINA 6 ZA SIMU ZILIZOUZWA SANA 2012

AINA 6 ZA SIMU ZILIZOUZWA SANA 2012


Na vitukovyamtaa.blogspot.com
Hizi ni aina sita za simu zilizonunuliwa zaidi duniani mwaka 2012. Hata hivyo simu zote ni za Apple na Samsung.
1. Samsung Galaxy Note II: simu zaidi ya milioni 88 ziliuzwa
samsung-galaxy-note-ii
2. IPhone 5: simu milioni 80 ziliuzwa
iphone 5
3. Samsung Galaxy S III: simu zaidi ya milioni 40 ziliuzwa
galaxy-s-3
4. Samsung Galaxy Note, simu mlioni 10 ziliuzwa
Samsung-Galaxy-Note-ATT-White5
5. Apple iPhone 4S, simu milioni 9.5 ziliuzwa
iphone4S
6. Apple iPhone 4: simu milioni 7.3 ziliuzwa
Iphone 4
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa