Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » QUEEN SUZY NA G-SEVEN ITS 'OVER'

QUEEN SUZY NA G-SEVEN ITS 'OVER'

                   Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ akiwa na Aimerichad Mwamba ‘G-Seven’.
Na Vitukovyamtaa.blogspot.com
ULE uchumba uliodumu kwa muda mrefu wa mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ na aliyekuwa rapa wa bendi hiyo, Aimerichad Mwamba ‘G-Seven’ umevunjika na sasa kila mtu ana maisha yake.
Chanzo makini kilicho karibu na Queen Suzy kilichoomba hifadhi ya jina lake kilitunyetishia kuwa, uchumba huo ulivunjika siku nyingi lakini mwanadada huyo alikuwa akifanya siri akijua taarifa hizo zikivuja ataaibika.
Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo, Ijumaa lilimtafuta Queen Suzy kuzungumzia hilo alipopatikana alisema: “Ni kweli mimi na G- Seven siyo wachumba tena na sababu ni kukosekana uaminifu, wanaomtaka wamchukue tu.”

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa