Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZILIZOTOKEA LEO MBAGALA BAADA YA KUGONGWA KWA MWANAFUNZI NA KUFA

PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZILIZOTOKEA LEO MBAGALA BAADA YA KUGONGWA KWA MWANAFUNZI NA KUFA

 
Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji.



 
Kamanda Engelbert Kiondo (wa pili kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kizuiani, Mashaka Selemani (wa kwanza kushoto).

 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo (wa tatu kulia) akiwa katika eneo la tukio.



 
Mojawapo ya matairi yaliyochomwa na wananchi.


Waananchi wakiandamana wakati wa vurugu hizo.
 
Wananchi wakiwa eneo alipogongwa mwanafunzi.


wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki leo
polisi wa usalamam akiwatuliza wananchi walioshikwa na asira mbagalaleo


baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki leo mbagala
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa