Omba omba mmoja amejikuta akiguka sinema ya bure baada ya kujipaka mavi mwilini na mengine kuweka mfukoni ili kuwashawishi watu wamsaidie kwa chochote...
Matarajio yake yalienda kinyume na fikra zake baada ya wananchi kumzingira na kutaka kumpa kichapo kwa kuchafua hali ya hewa kwa harufu ya kinyesi chake