Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » MAGAIDI WALIPUA TENA KENYA KITUO CHA POLISI NA KUUA WATU 3

MAGAIDI WALIPUA TENA KENYA KITUO CHA POLISI NA KUUA WATU 3

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa