Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WAPENZI WAJIRUSHA MBELE YA TRENI NA KUFARIKI DUNIA BAADA YA MAMA WA BINTI KUGOMA WASIOANE

WAPENZI WAJIRUSHA MBELE YA TRENI NA KUFARIKI DUNIA BAADA YA MAMA WA BINTI KUGOMA WASIOANE


Binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25, wameamua kukatisha maisha yao na kuacha note yenye maneno “Two great people are going to paradise”.

Kisa chote hiki kinatokana na mama wa binti Ariana O’Neal kukataa mapenzi ya hawa wawili.


David na Ariana walikuwa wanaishi jijini New York, katika mapenzi yao waliwai pia kukamatwa na polisi kwa kuhusuka na wizi wa vito kutoka kwenye duka la kuuza vito.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa