Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » SHILOLE AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUANIKA TUMBO LAKE ...

SHILOLE AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUANIKA TUMBO LAKE ...

Msanii wa filamu za Kibongo,na mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuwena Mohamed‘Shilole’amenangwa kwenye mtandao wa instagram baada ya kupost picha akiwa na madansa wake huku wakiacha matumbo yao wazI
Hizi ni baadhi ya comment za washabiki wake....

devothamally:hilo tumbo lifunike..limeshawatoa watoto wawili..jaribu kuliheshimu..!!!
srmbarack:kuwa makini na kitambi..
piha85:muogopeni mungu
amedeusy:bibi kuna mkanda wa kuvaaunapunguza kitambi cha uzazi hicho sio cha chakula take care we mzuri shilole
dhahabu87: vitambi vya bia..
 
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa