Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HEMEDI PHD ANUSURUKA KUFA KWA AJALI...

HEMEDI PHD ANUSURUKA KUFA KWA AJALI...

Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na matibabu
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa