Jeneza lililobeba mwili wa mfanyabiashara huyo lililoagizwa Nairobi ni la aina yake huku likifunguliwa kwa kutumia ‘rimoti’.
Jeneza hilo lililoagizwa kutoka Kampuni ya Montezuma & Monalisa Funeral Home, linafunguliwa kwa kubonyeza kifaa maalumu hata mhusika anapokuwa mbali..
Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha.
Dada wa marehemu Erasto Msuya katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina Arusha
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.
Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.