Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WASTARA SASA ATAKA MUME

WASTARA SASA ATAKA MUME

Staa  wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mwanaume  wa kupita.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kwa sasa yupo huru kutoka na mtu yeyote ampendaye kutokana na sheria na dini inavyosema ila kwa sasa shughuli za kuigiza zimembana.
 

‘Nahitaji mume na si mwanaume  wa kupita,  awe mvumilivu, mchapakazi pia awe na hofu ya Mungu. Kwa sasa nafanya filamu zangu kama kumuenzi marehemu mume wangu,” alisema Wastara.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa