Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » TRAFFIKI WAZIPIGA MCHANA KWEUPEE!

TRAFFIKI WAZIPIGA MCHANA KWEUPEE!

TRAFIKI wawili wa kike nchini China hivi karibuni walisahau kazi yao ya kudumisha usalama barabarani na kuamua kuzipiga kavukavu katika mitaa ya Tangshan, China.Dereva mmoja aliyekuwa katika gari lake ambaye aliwashuhudia wanausalama hao waliosahau majukumu yao na kuamua kuonyeshana ubabe mbele ya wananchi mpaka alipotokea trafiki mwenzao kuamua ugomvi.Taarifa zinadai kuwa baada ya tukio hilo, trafiki wote wawili wameachishwa kazi.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa