Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , , , » VIDEO MAPOKEZI YA RAIS OBAMA NCHINI TANZANIA

VIDEO MAPOKEZI YA RAIS OBAMA NCHINI TANZANIA



Rais wa Marekani Barack Obama mchana wa leo amewasili nchini tayari kwa ziara yake ya leo na kesho jijini Dar es Salaam. Rais huyo aliyeongozana na mkewe Michelle na wanae wa kike wawili Malia na Sasha amepokelewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa