Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , , , , , » PICHA MBALIMBALI ZA MAPOKEZI YA BARACK OBAMA NCHINI TANZANIA

PICHA MBALIMBALI ZA MAPOKEZI YA BARACK OBAMA NCHINI TANZANIA

clip_image001Rais Barack Obama wa Nchini Marekani na Mkewe Michelle Obama wakiwa sambamba na watoto wao, wakiwasili mchana huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam mchana huu kwa ziara ya siku mbili hapa nchini.clip_image001[6]Ndege ya Raisi wa Marekani Ikiwa Kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, mchana huu.clip_image001[8]Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgeni wake wa Marekani, Barack Obama aliewasili nchini Mchana huu kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.clip_image001[10]Rais Barack Obama akikagua Gwaride maalum aliloandaliwa akiongozwa na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi, Jenelari Davies Mwamunyange.clip_image001[12]Rais barack Obama akiagana na mama Salma Kikwete Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere.clip_image001[14]Msafara wa Viaongozi ukiondoka Uwanja wa Ndege.
Picha zote kwa Hisani ya TBC1
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa