Akiongea kwa uchungu na huzuni mbele ya Bimp,Nando ambaye ni Mshiriki wa Tanzania amemlaani mshiriki wa Ghana kwa kumwambukiza GONJWA LA ZINAA...
Nando amelinyaka gonjwa la zinaa maarufu kwa jina la "Chlamydia" na hivi sasa yuko katika dozi.Gonjwa hilo amelinasa baada ya kungonoka na SELLY bila KONDOMU.....
Kwa nini Nando hakutumia Kondomu?
Akiongea na Bimp ambaye ni mshiriki toka Ethipia, Nando amekaririwa akidai kuwa Selly aligoma kutumia kondomu.
Kwa kuwa alikuwa na HAMU na tayari stimu zilikuwa juu , Nando anadai kuwa hakuwa na jinsi zaidi ya kulikamua TUNDA bila kulimenya....
Namkariri:
"You know I hate that bi*ch !
I'm f*cking frustrated cos that bi*ch *Selly* gave me STD! That's why my blood pressure was high yesterday!"
Pole Nando, kama kauli yako ni ya kweli, nenda kapime na ngoma.