Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA KANISA MKONI LINDI

BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA KANISA MKONI LINDI

Binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa huko Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort  katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika kuwa marehemu alikuwa amelewa na watu walio mbaka alitoka nao kwenye muziki.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa