Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NDIO KAULI YA WAZIRI MKUU PINDA YA KUWARUHUSU ASKARI POLISI KUWAPIGA WAFANYA VURUGU NCHINI BUNGENI

HII NDIO KAULI YA WAZIRI MKUU PINDA YA KUWARUHUSU ASKARI POLISI KUWAPIGA WAFANYA VURUGU NCHINI BUNGENI

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo.
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wak
ati ya kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni.


>>BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YA KAULI YAKE AKIWARUHUSU POLISI KUPIGA<<
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa