Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WANAFUNZI 11 NA MZUNGU MMOJA WAKATWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NCHINI KENYA

WANAFUNZI 11 NA MZUNGU MMOJA WAKATWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NCHINI KENYA

Kenya ilikua kimya kidogo baada ya uchaguzi mkuu kuisha lakini kwa sasa inamake headline sana katika vyombo vya habari hasa katika nchi za afrika mashariki. Tukio lililoifanya kuandikwa sana katika mitandao ni kutokana na wanawake 12 pamoja na raia mmoja kutoka anayetokea nchini Uswiss kunaswa na polisi wakifanya mapenzi na mbwa huku wakichukuliwa video.


Habari bongoclantz.com ilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kua mzungu huyo alikua akiwalipa wakina dada hao kiasi cha sh 3000 za kenya ili kufanya mapenzi na mbwa huyo huku wakichukuliwa video.
hii ni picha ya mtuhumiwa akiwa nchini kwao

Inadaiwa kwamba siku za hivi karibuni kumekua na utitiri wa raia wa kigeni kuingia nchini kenya na kutafuta wadada hasa wanafunzi wa kufanya na ngono na hat kuwafanyisha ngono na mbwa kama ilivyotokea katika tukio hili. Baada ya polisi kuwafatilia kwa mda mrefu hatimaye siku ya siku ikafika na hatimaye kuwakamata wadada 10 na mwanaume huyo wakiwa katika nyumba moja huko kenya katika lilitokea katika mtaa wa kifahari wa Nyali, jijini Mombasakenya.


Baada ya kuwakamata taratibu za kuwakamata wahalifu hao na hatimaye kufikishwa mahakamani na hatimaye mwendesha mashtaka kuomba aongezewe mda wa kufanya uchunguzi zaidi kwa ajili ya kesi hiyo. Unaweza kucheki video wakati watuhumiwa hao wakifikishwa mahakamani hapa chni
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa