Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAPENZI YA DIVA NA PREZZO YAINGIA KWENYE HATUA MPYA......"MTANDAO WA BBM NAO WATOA RIPOTI"

MAPENZI YA DIVA NA PREZZO YAINGIA KWENYE HATUA MPYA......"MTANDAO WA BBM NAO WATOA RIPOTI"

Hii Ni Post aliyoweka mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness Love akiongelea penzi lake na Msanii tajiri toka Kenya, PREZZO.
Katika Tovuti ya BigBrother Africa Wameandika Kichwa cha habari: Prezzo Moves On,Now Dating Radio Presenter Diva Loveness Love.

Wakaongeza:

All this must be a thing of the past for Prezzo seeing that on several occasions he has been spotted with cloud FM’s Radio presenter famously known as Loveness love.

Asked about if there is anything between him and the Kenyan diva;Prezzo who didn’t exactly deny the rumor simply commended her as;”very beautiful and classy…someone you would fall in love with at first sight”
As it is moving on from the past is always a good thing…we wish them the best!



ZAIDI BOFYA HAPA KUJUA BBA WALICHO ANDIKA JUU YA MAHUSIANO YAO
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa