Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAJI BANDIA YAZUWA UTATA DAR ES SALAAM WATU NUSURU WATWANGANE

MAJI BANDIA YAZUWA UTATA DAR ES SALAAM WATU NUSURU WATWANGANE



Wananchi wakimuhoji mfanyabiashara wa maji aliyedaiwa kuuza maji feki tukio hili limetokea leo jijini Dar es Salaam
Mfanyabiashara wa maji aliyetambulika kwa jina la Kigira Mhisho(15) akimwaga maji baada ya kubainika kuwa anauza maji bandia
Wananchi wakifuatilia mzozo baina ya mfanyabiashara wa maji na mteja wake baada ya kubainika kwamba amemuuzia maji bandia
Mfanyabiashara huyo aliyetambulika kwa jina la Kagira Mhisho mwenye umri wa miaka 15 inaseemekana kuwa amekuwa akifanya biashara hiyo kwa kutumia maji kutoka sokoni kariakoo kwa takribani miaka mitatu sasa.


Ni vyema wananchi wakajihadhari na maji yanayouzwa njiani kwani baadhi ya wafanyabiashara wasiowaaminifu huokota chupa zilizokwisha tumika na kuzitumia.Ninashauri vyombo husika katika ukaguzi na kujali afya za walaji kuingilia kati ili kuepusha wananchi kupata maradhi mbalimbali.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa