Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » KILICHOJIRI KATIKA PICHA KWENYE SHOW YA DIAMOND NA NEY WA MITEGO WIKIEND ILIYOPITA darlive

KILICHOJIRI KATIKA PICHA KWENYE SHOW YA DIAMOND NA NEY WA MITEGO WIKIEND ILIYOPITA darlive

ney wa mitego na mama kijacho wake


ZIFUATAZO NI PICHA ZA USIKU WA NAY WA MITEGO 
& DIAMOND PLATNUMZ,DARLIVE.
First Lady wa Mkong'oto JAZZ Band Nae alikuwepo
 kuhakikisha ushindi....

''Hivi huyu bwana mdogo atamuweza kweli Nay wetu....??''
 Ommy wa Mkong'oto akiulizwa naFirst Lady wa ney wa mitego.....!!!
Ebwana eeeeh Dogo kafika na Jeshi lake uko Nje........''
Nay akiongea na simu ''Njooeni Backstage Nyie mchele
 mchele nawasubiri....!
Nikiwajuza mashabiki zangu kupitia social network
 jinsi navyoenda kumgaragazamtoto wa manzese....
Nay akaanza kwa manjonjo kukiwasha Jukwaani....
Watuuu weeewee wakijibu kwa shangweeee......
Mi ni maji usipokunywa basi utanioga.......
Nay akishow love kwa mashabiki zake kwa kuwapa mkono...
Nay akiwauliza mashabiki zake''Huyu mbana pua akija
 ataimili mziki huu....??


Backstage nikikoki silaha zangu hatari kwenda kufunika huu muziki wa Hip Hop kabisa
Haya sasa Mule Mule......!


Mbagala mmeniskia.......tatizo kwetu mbagala na leo nimerudi kwenu....
Nikisalimu mashabiki kwa kushow love kwangu.....t was crayyzz baby.....mizuka ya kimanyema ikapanda sasa...


Eti Nani Amenuna........?? Nani amenuna.....??






akicheza tu namuharibia hapa hapa kwetu huyu mbagala......





Hapo sasa.......Mtu mbili kati.....amuheni wenyewe.........!!


BONGO FLEVA & HIP HOP.....


NANI MSHINDI?? EBU SEMA WEWE......


Baada ya show Diamond & Nay wakishukuru Mashabiki na kuwapa zawadi ya Video ya Muziki Gani....!!

Emma Platnum,Hamish Donovan the masteminder Behind This Is Diamond &Rama Mpauka...Baada ya show kumalizika.....
From Left My Blood Sister Esma Khan,Siwema Shem Lake Na Nay wa Mitego....

Dumi Utamu,QBoy Mnyama & Rama Mpauka.......we The Best Ever.......
Nay wa Mitego,Siwema and Diamond Platnumz....
U May kiss the bride...hahaha LOL....


MAHABATI.....
Crew nzima ya Mkong'oto Jazz Band.....

c
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa