Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » LAMAR NA SUMALEE WAINGIA KWENYE MZOZO JUU YA LAMAR KUUZA BEAT YA SUMALEE

LAMAR NA SUMALEE WAINGIA KWENYE MZOZO JUU YA LAMAR KUUZA BEAT YA SUMALEE

Juzi kupitia mtandao wa instagram, msanii Suma Lee ambae siku ya juma nne wiki iliyopita alitambulisha ngoma yake mpya "Wanasema" ilitengenewa na producer Lamar, alipost picha inayoonyesha mazungumzo yake na mtu mwingine {sifahamu ni nani} ambapo alikua akiambiwa na kutumiwa beat ya wimbo unaofanana na wimbo wake huo mpya.
nadhani baada ya kusikiliza beat hiyo ndipo alipoamua kuweka wazi mazungumzo hayo pamoja na kicha cha habari alichokiandika hivi 
"khaaaaa!!!!! hehehe.LAMAR nini hii!!!!! maana unamtia aibu SUMA LEE. Achekwe na ISMAIL MSWAHILI aaaaagh!!!! maza!! faza!!! 
 
producer lamar katika pozi
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa