Licha ya kuwapo kwa matangazo mengi yalitolewa mnamo siku ya jumanne na Google I/O, kupitia mkutano wa Google, kampuni hiyo imetangaza watumiaji wenye akauti za G Mail wa mtandao huo watakuwa huduma mpya ya Google Wallet na Gmail, ikimaanisha kwamba watumiaji wa mtandao wa Google wenye akaunti ya Google muda sio mrefu toka sasa watakuwa na uwezo wa kutuma hela kupitia E-mail.
Home
»
mtaa kwa mtaa
»
GOOGLE KUWAWEZESHA WATUMIAJI WAKE KUTUMA PESA KWA KUTUMIA E-MAIL ZAO