Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » OTILIA LIVE AKIMTOMASA KIMAHABA MWANAMKE MWENZAKE

OTILIA LIVE AKIMTOMASA KIMAHABA MWANAMKE MWENZAKE



MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Otilia Boniface amenaswa  akiwa akimtomasa  kimahaba   mnenguaji mwenzake ambaye jina lake halikupatikana mara moja.

Otilia alinaswa juzikati katika Ukumbi wa Meeda kulikokuwa na onesho la bendi hiyo ambapo yeye na mwenzake huyo walinaswa nyuma ya steji wakitomasana  na  kupigana  busu   mithili ya mume na mke, hali iliyosababisha mshangao mkubwa

 “Mwenzangu mimi ndiyo dada yenu mnapoingia kwenye bendi lazima niwapokee vizuri na nimeshawapokea wengi sana hivi ndiyo ninawakaribisha,” Otilia alisikika akimwambia mnenguaji huyo.
 
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa