Katika vikao vya awali vya bunge hilo, tayari baadhi ya wabunge wameanza kutumia lugha za kuudhi na kuleta utata wakipigana vijembe kama ifuatavyo:
‘‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya...”
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi
‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa bungeni...”
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde

‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.”
Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini
“Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa.”Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa:
Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM)
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Leticia Nyerere
“Serikali iruhusu raia wa Tanzania walime bangi wapate fedha za kigeni.”
Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kesi:
