Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MALI ZA GOLDIE ZAPIGWA MNADA KUSAIDIA WANAWAKE DHIDI YA MANYASO

MALI ZA GOLDIE ZAPIGWA MNADA KUSAIDIA WANAWAKE DHIDI YA MANYASO

Mali za nyota wa muziki ambaye aliaga dunia mwezi wa pili mwaka huu, Goldie Harvey kutoka huko Naijeria, zinatarajiwa kufanyiwa mnada kwa ajili ya kuchanga fedha za kutoa sapoti kwa mradi wa hisani wa kupambana na manyanyaso dhidi Wanawake.

Hii ni kwa mujibu wa wosia ambao mwanadada huyu aliacha, kitu ambacho kinaashiria upendo na nia kubwa aliyokuwa nayo katika kuwasaidia wanawake wenzake kuondokana na maisha ya kukandamizwa
kupitia taasisi yake ya Project Alert.

Mnada wa mali za mwanadada huyu utafanyika May mosi na sehemu ambayo shughuli nzima itafanyik

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa