Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.
Home
»
mitaa ya mbele
»
PICHA ZA YULE MBUNGE ALIYENASWA AKIZINI NA WANAWAKE WAWILI


