Wilvina Mukandala akiwa kizimbani.
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.
Mtoto Aneth Johannes baada ya kukatwa mkono.

