Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » TAZAMA PICHA ZA JUKWAA LA FIESTA DAR LINAVYOTENGENEZW

TAZAMA PICHA ZA JUKWAA LA FIESTA DAR LINAVYOTENGENEZW


10Hapa bado haijakamilika, ni stage ambayo kukamilika kwake inachukua siku kumi ikiwa inatengenezwa… ni stage ambayo itakua na winch ya kupandisha wasanii kuja kufanya show, kutakua na screen za kisasa zaidi kuonyesha kila kinachoonekana kwenye stage.. 7Kama unavyoona kwa mbali, kwa mara ya kwanza Fiesta hii backstage yake imejengewa nyumba ya kisasa zaidi na ndefu kwenda juu, ndani yake kutakua na baa, screen kubwa, makochi ya  kisasa kwa ajili ya watakaokuwepo hapo. 6 8 9Hii ni stage nyingine 3 4 1Ukiangalia kwa makini hapa kuna stage mbili kubwa ambazo zimeunganishwa na barabara ambayo inamuwezesha msanii kutembea juu huku mashabiki wakiwa pembeni kulia na kushoto yani… 2Hivyo ni baadhi tu ya vitu nimeamua kukupa kwa sasa mtu wangu,
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa