NUSU ya watu wanaotumia kondomu kwaajili ya kujikinga na mimba ama magonjwaya zinaa, hawajui namna ya kuitumia mipirahiyo
Tumia kondom mpya kila mara unapofanya mapenzi.
Jitahidi kutokugusa sehemu za siri ya mpenzi wako (au osha mikono yako) kabla ya kugusa sehemu zako za siri.
1. Usiguse sehemu za siri za mpenzi wako kabla ya kuvaa kondom.
Angalia kwa makini paketi za kondom kabla ya kuifungua.
Hakikisha haijaharibika au kupasuka.
Angalia tarehe ya mwisho ya matumizi ya kondom hii, ambayo itakuwa imechapishwa sehemu ya nje ya paketi ya kondom kuhakikisha tarehe haijafika. Kama tarehe imeishafika na kupita, tumia kondom nyingine.
2. Fungua paketi kwa uangalifu kwenye sehemu iliyo na makuchamkucha kama msumeno, ili kuhakikisha hauharibu kondom.
Usitumie makucha au meno kufungua paketi, kwa sababu kondom inaweza kuchanika. Upapogusa kondom, iwe na <<INGIA HAPA KUSOMA SAIDI HATUA KWA HATUA>>

Kama unapenda mada kama hizi za kujifunza,tafadhalia tuandikie email kupitia vitukovyamtaa@gmail.com...au kama una mada kama hizi pia tutumie ili tuendelee kujifunza..Asante