Msanii wa filamu na muziki nchini, Shilole amefunguka kwa kusema anafanya muziki wa kucheza na wanaume jukwaani ili kukidhi mahitaji ya aina ya burudani wanayoihitaji watu wake
Akizungumza na mtandao huu leo akiwa Moshi, Shilole amesema anafanya muziki kulingana na mahitaji ya mashabiki wake na si kwa kusikiliza mawazo ya mtu mmoja mmoja yasiyokuwa na manufaa kwenye muziki wake.
Home
»
shilole
,
skendo mastaa
»
SHILOLE AFUNGUKA NINI MAANA YAKE KWA KUNYONYWA MAZIWA NA KUCHEZA NUSU UCHI JUKWAANI
