Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » PICHA ZA MUONEKANO WA AGNESS MASOGANGE BAADA YA KUMALIZA KESI YAKE YA MADAWA YA KULEVYA SOUTH AFRIKA

PICHA ZA MUONEKANO WA AGNESS MASOGANGE BAADA YA KUMALIZA KESI YAKE YA MADAWA YA KULEVYA SOUTH AFRIKA

Pichani juu ni taswira mbalimbali za muonekano mpya wa Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye kwa sasa yupo uraiani baada ya kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa