Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA YA LEO:PICHA: HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA...

PICHA YA LEO:PICHA: HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA...

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.
 Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa