Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA 6 ZA MUONEKAANO WA NAKAYA BAADA YA KUPATA MIMBA

PICHA 6 ZA MUONEKAANO WA NAKAYA BAADA YA KUPATA MIMBA

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa..

 Watu mbalimbali wamempongeza Nakaaya na kumtakia kila la heri na ajifungue salama huku yeye mwenyewe akiandika Sasa huku ndio kuchoka...
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa