Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICH YA LEO:NJIA YA KUWAADHIBU WEZI WA SUPERMARKET YAPATIKANA...

PICH YA LEO:NJIA YA KUWAADHIBU WEZI WA SUPERMARKET YAPATIKANA...

mimi ni choriiii
Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba.
yote hii ni kutaka mambo makubwa ,hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta


..HAPO VIPI ..
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa