Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MSIKILIZE HAPA DAZ BABA AKIFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU ISHU KUA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA NA KUWA ANACHANGANYIKIWA

MSIKILIZE HAPA DAZ BABA AKIFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU ISHU KUA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA NA KUWA ANACHANGANYIKIWA



Msanii aliyekuwa akiunda kundi la Daz Nundaz amesema kuwa mashabiki waache kusikiliza maneno ya mtaani umbea kuwa yeye kawa kichaa na kuwa anatumia madawa ya kulevya. 
Daz Baba alisema kuwa hatumii madawa ya kulevya na wala si kichaa kama watu wanavyosema,”kichaa hawezi kwenda shule, lakini labda wakati wengine ninavyoongea watu wanaona nimedata kwasababu kiukweli machizi wangu wanafariki kwahiyo wakati mwingine nadata”, Daz..
Aliongeza kuwa mashabiki wake wakae tayari kusikia kazi zake mpya, “Peace and Love”,Daz Baba..MSIKILIZE..







 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa