Uchaguzi wa jinsia, au kutabiri jinsia ya mtoto atakaezaliwa ni topic yenye mkanganyiko katika kada ya afya hususani uwanja wa matabibu.
Ambapo madaktari na wataalamu wa masuala uzazi, wanawwapinga wakunga wa zamani kwa mujibu wa wao walivyokuwa wanaamini kuhusiana na hii jinsi ya kutabiri.
Baadhi ya watafiti walikuja na hoja na baadhi ya mbinu ambazo zinaongeza uwezekano wa kupata motto wa kiume au wa kike.
Dokta Shettles, alikuja na njia yake inayoitwa SHETTLE METHOD, ambayo ilifanyiwa ucchinguzi nae LANDRUM SHETTLES mnamo miaka ya 1960 na rekodi yake kuandikwa katika kitabu kilichoitwa
“HOW TO CHOOSE THE SEX OF YOUR BABY”
Na inakadiriwa kuwa yapata asilimia 75% ya waliojaribu walifanikiwa.
Baadhi ya watafiti wengine walisema kuwa mlo na mkao wakati wa kufanya tendo la ndoa ndio una athiri uchaguzi wa jinsia ya motto atakaezaliwa.
Katika makala hii nitaangazia juu ya jinsi ya kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume
Hivyo, zingatia vidokezo hivo ili kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa KIUME.
1. ELEWA FALSAFA YA NJIA YA SHETTLES
Njia hii ina jikita katika wazo la kuwa Y-chromosomes sperm( jinsia ya kiume) ambazo ni chache, dhaifu na hutembela/kusafiri kwa haraka kuliko X chromosome sperm (jinsia ya kike)
2. UTAMBUE MUDA WA YAI KUPEVUKA/OVULATION
Kulingana na NJIA YA SHETTLES, unatakiwa kufanya tendo la ndoa KABLA, BAADA ya ovulation kutokea MASAA MACHACHE OVULATION KUTOKEA. Hii ni kwa lengo la kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume.
KUMBUKA;
· Kuwa na chart ya kuangalia ute toka ukeni, angalia ute kila siku, kabla ya ovulation, ute unatakiwa kuwa wa kuvutika pale unapoguswa/ elastic na pia watery
· SHETTLES ana shauri kuwa chati yako ya kuangalia ute inabidi ifanyike kwa angalau mwezi mzima ili kuujua jinsi ute unavyo tofautiana unapokuwa unaelekea kwenye tarehe za ovulation.
· Pia angalia BASAL BODY TEMPERATURE/ Mabadiliko ya joto lako la Mwili, Chukua vipimo vya joto kila asubuhi kabla hujatoka kitandani, kipindi upo kwenye ovulation joto la mwili litapanda sana, hivyo kwa sababu unatakiwa kufanya mapenzi siku za karibu na ovulation iwezeanavyo ili kuweka mazingira mazuri kwa kupata mtoto wa kiume, unashauri kujua mwenendo wa joto lako angalau kwa muda wa miezi miwili ili kujua ni kipindi gani joto linakuwa juuna hivyo kujua ovulation ipo tayari.
· KWA MAELEZO ZAIDI YA KUJUA WAKATI WA OVULATION UMEWADIA SOMA BOFYA HAPA.
3. UJUE MUDA WA KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUONGEZA UWEZEKANO WA KUPATA MTOTO WA KIUME.
Fanya tendo la ndoa ama mapenzi masaa 24 kabla ya muda wa ovulation kufika na masaa 12 baada ya ovulation kutokea. Katika muda huu, ute unaoteleza toka katika cervical utaisaidia mbegu Y(kiume) toka kwa mwanaume ambayo hutembea/husafiri kwa haraka, lakini dhaifu kwa maaa kwamba hufa mapema na hivyo kuifikia mapema/haraka yai la kike ambalo ni X, ambalo X yenyewe hutembea mwendo wa pole, lakini lipo imara kwa kukaa muda mrefu.

4. FANYA TENDO LA NDOA/MAPENZI KWA MKAO/ STYLE HII HAPA.
Dr Shettles ana shauri, Uume uingie zaidi katika Uke, Huu ni mkao wowote ambao unaamini kuwa uume utaingia zaidi katika uke ambapo mbegu za kiume zitamwagwa karibia na cervix nahivyo kuweza kusafiri kwa urahisi na haraka kwa mbegu Y Kuelekea kurutubisha Yai la kike kiurahisi.....<<BOFYA HAPA KUENDELEA NA SOMO>>



