Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » HII NDIO SIRI YA MZUKA WA SHILOLE JUKWAANI MPAKA ANAJIACHIA KIHASARAHASARA

HII NDIO SIRI YA MZUKA WA SHILOLE JUKWAANI MPAKA ANAJIACHIA KIHASARAHASARA

Shilole amefichua kuwa, role model wake katika muziki kwa sasa ni nyota Lady Gaga ambaye kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwake ni kujiachia pindi anapokuwa jukwaani, na kuwaridhisha wale ambao wametoa pesa zao ili kushuhudia burudani kutoka kwake.

Shilole pia amewataka mashabiki wake kukaa tayari na kolabo ambayo aliwaahidi kuwa atafanya na mwanamuziki Jennifer Lopez ambayo anatarajia kuikamilisha mwisho wa mwaka huu atakapokwenda tena ziarani Marekani.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa